Sema Unapenda nini?

Sema Unapenda nini?

Kwa kweli nikiri tu kila mwezi wa dec huwa napenda sana marine tour, diving hususan maeneo ya hanoi viets..lazima niende ili mradi nipo hai...

Nilikuwa napenda sana kisiwa cha karitimati lakini baridi huwa inazingua...

Tatizo el nino
 
Naomba niishie hapa wakuu....
downloadfile-2.webp
 
Back
Top Bottom