- Thread starter
- #21
Sawa tuendelee kusali Rozali mkuu mwezi wa maombi huuNitarudi baadae nifanye ibada naona saa 9 imefika
Sawa tuendelee kusali Rozali mkuu mwezi wa maombi huuNitarudi baadae nifanye ibada naona saa 9 imefika
Pumbavu, aliye kudanganya pombe zinaua figo usikute na wa huko kwenu katoro Pumbavu 😅Una hela ya kujitibia Figo, ini n.k au baadae ndio uje usumbue michango ndugu manzanita?
Acha pombe, acha soda fanya mazoezi
Acha uzinzi na uasherati, acha pombe. Fanya kazi tembelea wagonjwa na wafungwa naamini priorities zako zitabadilikaNisidanganye...
Ni mbunye wazee. Yaaani Dah! Sijui nimerogelezewa masikini mimi mhhh! Likizo ndefu. Niwe na pisi mpya tena yenye tako na mamiguu aisee hata nje sitoki mara kwa mara...Ni mbunye tu na wine...🙏🏿
Sawa endelea kunywa master, k vant, konyagi, Hanson choice n.kPumbavu, aliye kudanganya pombe zinaua figo usikute na wa huko kwenu katoro Pumbavu 😅
Halafu ingia inbox wewe mnywa maji uombe bukuSawa endelea kunywa master, k vant, konyagi, Hanson choice n.k
Mtoto mpumbavu ni hasara kwake na familia yake
😄😄😄😄😄Halafu ingia inbox wewe mnywa maji uombe buku
Huna hela hauna akili tulia ,mshahara wako kwa wengine ni pombe za siku moja gademitt😄😄😄😄😄
Sawa mkuu
Nyie ndio vijana wa ku assume kila kitu sio
SawaHuna hela hauna akili tulia ,mshahara wako kwa wengine ni pombe za siku moja gademitt
Note. kijana ni wewe na sio mimi.
Wewe kila siku unadai ni mlokole kwanini hauna hela unadai ni maskini tu?Nikiwa mapumziko
ni kupumzika na wife faragha mana KAZI zetu hizi za kimasikini za kulala LINDO kazini usiku kucha masaa 36 huonekani nyumbani mara 7-10 kwa mwezi ,ukipata nafasi ya kupumzika kulala nyumbani na wife WAKO unaitumia vizuri kupumzika kulala.
Kukaa na watoto kuwafundisha NENO la MUNGU,kuangalia watoto mwendelezo ya watoto mambo ya shule ,maisha Yao ya kiroho
Ibada nilipata fursa ya kutoka na familia kwenda kwenye mikutano ya INJILI kama Le ya askofu Moses kulola,ibada za jumapili,ibada za KATIKATI ya wiki semina za NENO la MUNGU ,hiyo NDIYO OUTING ya familia kama vile wale wanaojitoa OUT kwenda mbuga za wanyama..pikiniki..
Mimi nikiwapekeka familia yangu kwenye mikutano ya INJILI au semina ya NENO la MUNGU kama kule SAFINA majengo mbauda ARUSHA hiyo NDIYO OUTING ya familia
Bila kusahau PILAU nyama na kachumbari na juisi ya baridi ya para chichi ,embe na passion na kachumbari na pilipili
Wewe
Wali maharage kachumbari na pilipili na para chichi.
Summary
1)kufanya mapenzi na mke wangu tendo la ndoa
2)Kukaa na familia watoto nan. kushiriki nao pamoja ibada za nyumbani,semina za NENO la MUNGU,mikutano ya INJILI
crusade
3)Kula chakula pamoja na familia ya I hata nikinunua nyama kilo moja natamani nile pamoja na familia kwa pamoja,chakula tunachokipenda kama familia ni PILAU nyama na wali maharage mixer kachumbari,para chichi,juisi ya para chichi/embe/pasheni.
(Hizi ndio starehe zetu MASIKINI)
Please naomba sana usinipangie. Wewe ishi unavyotaka na mimi niishi ninavyotaka ali mradi sivunji sheria. Tusiingiliane wala kupangiana please. Gerraoura here with your fake self righteousness! 😂😂😂Acha uzinzi na uasherati, acha pombe. Fanya kazi tembelea wagonjwa na wafungwa naamini priorities zako zitabadilika
Kwani wewe kwako Ibada ni nini?Starehe yako ni ipi?, usiniambie ibada
Pierre Liquid!Tule pombe wakuu, hakuna mnywa bia fala
Hana hela, bia moja mpaka 8000 , anaweza wapi huyu mbwiga?😅Please naomba sana usinipangie. Wewe ishi unavyotaka na mimi niishi ninavyotaka ali mradi sivunji sheria. Tusiingiliane wala kupangiana please! 😂😂😂
Hongera sana mkuu, msingi wa taifa bora huanzia kwenye msingi bora wa familia.Nikiwa mapumziko
ni kupumzika na wife faragha mana KAZI zetu hizi za kimasikini za kulala LINDO kazini usiku kucha masaa 36 huonekani nyumbani mara 7-10 kwa mwezi ,ukipata nafasi ya kupumzika kulala nyumbani na wife WAKO unaitumia vizuri kupumzika kulala.
Kukaa na watoto kuwafundisha NENO la MUNGU,kuangalia watoto mwendelezo ya watoto mambo ya shule ,maisha Yao ya kiroho
Ibada nilipata fursa ya kutoka na familia kwenda kwenye mikutano ya INJILI kama Le ya askofu Moses kulola,ibada za jumapili,ibada za KATIKATI ya wiki semina za NENO la MUNGU ,hiyo NDIYO OUTING ya familia kama vile wale wanaojitoa OUT kwenda mbuga za wanyama..pikiniki..
Mimi nikiwapekeka familia yangu kwenye mikutano ya INJILI au semina ya NENO la MUNGU kama kule SAFINA majengo mbauda ARUSHA hiyo NDIYO OUTING ya familia
Bila kusahau PILAU nyama na kachumbari na juisi ya baridi ya para chichi ,embe na passion na kachumbari na pilipili
Wali maharage kachumbari na pilipili na para chichi.
Summary
1)kufanya mapenzi na mke wangu tendo la ndoa
2)Kukaa na familia watoto nan. kushiriki nao pamoja ibada za nyumbani,semina za NENO la MUNGU,mikutano ya INJILI
crusade
3)Kula chakula pamoja na familia ya I hata nikinunua nyama kilo moja natamani nile pamoja na familia kwa pamoja,chakula tunachokipenda kama familia ni PILAU nyama na wali maharage mixer kachumbari,para chichi,juisi ya para chichi/embe/pasheni.
(Hizi ndio starehe zetu MASIKINI)
Tulewe tu , hiyo ndio kazi ya pesaPierre Liquid!