Sema Unapenda nini?

Sema Unapenda nini?

Wewe kila siku unadai ni mlokole kwanini hauna hela unadai ni maskini tu?

Kuwa mlokole sio guarantee ya kuwa TAJIRI.
Hata kwenye biblia walikuwepo matajiri na MASIKINI walokole.
Mimi si Mmoja WA hao matajiri.
Matajiri wanatusema humu kila siku kuwa UMASIKINI NI LAANA? ama sisi MASIKINI hatufanyi KAZI ?

nakataa umasikini sio LAANA
Na si KWELI kwamba MASIKINI hatufanyi KAZI nakataa Tena sisi ndio tunafanya KAZI kuliko matajiri
 
Mungu muweza wa yote kakunyimaje hela wewe akanipa mimi ambae hata simuamini🤣 huoni kakuona wewe fala tu?
 
Acha uzinzi na uasherati, acha pombe. Fanya kazi tembelea wagonjwa na wafungwa naamini priorities zako zitabadilika
Wenzio wanataja starehe zao .hizo ulizowatajia ni charity lazima mtu atafanya
Lakini si umehoji muda wa mapumziko mtu anaependa Nini?
 
Mungu muweza wa yote kakunyimaje hela wewe akanipa mimi ambae hata simuamini🤣 huoni kakuona wewe fala tu?

Mungu anaweza kumpa yeyote utajiri kwa AJILI ya huo utajiri utumike kwa utukufu wake,na kwa AJILI ya kufanya baraka kwa wengine,..lakini hata MATAJIRI pia anaweza kuwa TAJIRI..SAMWELI 25 Nabali alikuwa tajiri mkubwa lakini mtu mkorofi, mchoyo, na mpumbavu (kama lilivyo maana ya jina lake)

Mungu wangu ninayemuabudu kwa KWELI ni mwema kwetu,haijawahi hajanipungukia Wala sijawahi kulala njaa,au kuomba omba msaada barabarani Wala watoto wangu kukosa MAHITAJI Yao Wala kulazwa hospitali wakiugua hata Mimi sijawahi kulazwa hospitali nimeugua.
 
hata wapumbavu pia wanaweza wakawa matajiri,kama NABALI mume WA ABIGAILI (samweli 25)
 
Mungu anaweza kumpa yeyote utajiri kwa AJILI ya huo utajiri utumike kwa utukufu wake,na kwa AJILI ya kufanya baraka kwa wengine,..lakini hata MATAJIRI pia anaweza kuwa TAJIRI..SAMWELI 25 Nabali alikuwa tajiri mkubwa lakini mtu mkorofi, mchoyo, na mpumbavu (kama lilivyo maana ya jina lake)

Mungu wangu ninayemuabudu kwa KWELI ni mwema kwetu,haijawahi hajanipungukia Wala sijawahi kulala njaa,au kuomba omba msaada barabarani Wala watoto wangu kukosa MAHITAJI Yao Wala kulazwa hospitali wakiugua hata Mimi sijawahi kulazwa hospitali nimeugua.
Maneno ya kujifariji tu , kanuni ya dunia haitaki wapumbavu na wanyonge, ukiwa na uwezo wa kuchukua kanuni inakupa kipaumbele nyie mtazidi kutumika mpaka mjitambue tu
 
Napenda kusoma vitabu pia. Nimesoma vitabu vingi sana na baadhi ya vitabu ulivyosoma tayari nilishavisoma. Napenda kupata muda wa utulivu kukaa pekeyangu nilisoma vitabu au nikiongea mwenyewe, nikitathimini mwaka ulikuwa wanamna huku nikiangalia wapi nikasafiri kufanya Utalii wa chakula napenda cultural food exprore na street food pia. Hivyo ndio vitu napenda kufanya
 
Maneno ya kujifariji tu , kanuni ya dunia haitaki wapumbavu na wanyonge, ukiwa na uwezo wa kuchukua kanuni inakupa kipaumbele nyie mtazidi kutumika mpaka mjitambue tu

Mungu akikuinua unainuka kama mfalme DAUDI kutoka kuchunga kondoo mpaka kuwa mfalme.
Ila ukijiinua mwenyewe kwa nguvu ZAKO mwenyewe na kwa AKILI zako mwenyewe ikizitegemea hizo na moyoni mwako unemuacha Mungu,japo NJIA zako zinaweza zikaonekana njema sana machoni pako mwenyewe ila mwisho wake ni MAUTI.
 
Back
Top Bottom