Umenikumbusha mbali sana sister juu ya definition ya pastor Roman wa zimbambwe tukiwa ester conference miaka hiyo..nikashangaa sana aliposema marriage is a union of two uncomplete people..nilitafakari sana ila siku nilipoingia ktk ndoa ilinisaidia kumvumilia mwenzangu ups and downs zipo popote pale pia ndoa ina raha zake nyingi tu sema ni hulka ya binadamu kuhesabu mabaya kuliko mazuri.....Ujue ndoa ni tamu sana kama ukichukulia kila ulipatalo kama challenge kwenye maisha yako na ukasonga mbele bila kuanza kuwashikirisha wa pembeni ambao always wanasubiri kusikia habari mbaya Wakati wa raha hutawasikia wala hakuna atakayeongea ila upatapo shida jua pia kuwa hiyo ni sehem ya ndoa na pambana na jaribu hilo mpaka mwisho bila kuangalia ndoa ya mwingine au bila kulinganisha ndoa yako na mwingine Ndoa ni ya kwako na always matatizo na mikwaruzano ni part ya hiyo ndoa Jifunze kuwa upatapo raha ndani ya ndoa ni hivyo hivyo pia wakati wa matatizo yanavyokuja na ujue kupambana nayo
Nafurahia maisha ninayoishi sasa kwa sababu sina mahusiano serious so nipo free thou sometimes kuna upweke
Mbona kama umepigishwa magoti na umeshikishwa masikio kweny profile pic au sio wwNipo kwa bedi saivi nafurahia mavituz na my wife
Hali ipi mahondawVipi wewe hali ikoje kwako??
Maisha ya ndoa ni mazuri sana ukiwa na mtu mnayependana na kuckilizana ka sivyo usiingieHongera sana. Vipi wewe binafsi unaosemaje kuhusu maisha ya ndoa kutokana na kusikia labda Au pengine kushuhudia toka kwa ndugu jamaa marafiki nakwingineko?!
Mahusiano ni raha ukimpata umpendae na machungu ukimpata mtu msieendanaYa mahusiano kiujumla
likes nyingi kwakoUmenikumbusha mbali sana sister juu ya definition ya pastor Roman wa zimbambwe tukiwa ester conference miaka hiyo..nikashangaa sana aliposema marriage is a union of two uncomplete people..nilitafakari sana ila siku nilipoingia ktk ndoa ilinisaidia kumvumilia mwenzangu ups and downs zipo popote pale pia ndoa ina raha zake nyingi tu sema ni hulka ya binadamu kuhesabu mabaya kuliko mazuri.....Ujue ndoa ni tamu sana kama ukichukulia kila ulipatalo kama challenge kwenye maisha yako na ukasonga mbele bila kuanza kuwashikirisha wa pembeni ambao always wanasubiri kusikia habari mbaya Wakati wa raha hutawasikia wala hakuna atakayeongea ila upatapo shida jua pia kuwa hiyo ni sehem ya ndoa na pambana na jaribu hilo mpaka mwisho bila kuangalia ndoa ya mwingine au bila kulinganisha ndoa yako na mwingine Ndoa ni ya kwako na always matatizo na mikwaruzano ni part ya hiyo ndoa Jifunze kuwa upatapo raha ndani ya ndoa ni hivyo hivyo pia wakati wa matatizo yanavyokuja na ujue kupambana nayo
ha ha ha mna kumbukumbu lolKuna mada fulani hivi siikumbuki vizuri ilikua inahusu kuwa singo. Kwenye hio mada kuna komenti yako ulisema " mtihani wa kuwa singo ulifeli " hio comment yako hata mi naikumbuka
Watu tumecomplicate sana haya maisha ya ndoa hadi yaonekane ni jehanamu ndogo.
Wengine hadi anaingia huku kajiandaa kuwa anaingia katika kitu cha ajabu kuwahi kutokea.
Wengine wameogopa hadi kukata tamaa kabisaaa.
Ni maisha kama yalivyo maisha mengine tu, just like unavyoishi na mama/baba na ndugu wengine. Haiwezi kuwa the same always,kuna kuchukuliana na kuvumiliana, no one is perfect.
Kuna wakati mtafurahi,kuna wakati wa huzuni pia. Tatizo hatujui nini maana ya ndoa na tumekuwa wanafiki sana dio maana watu tunaona ni kama kitu cha hatari mnoo, ndoa is a sacred thing, muombe Mungu akupe wa kufanana nawe tu.
ha ha ha mna kumbukumbu lol
ndio mi siwezi kua singo nikibreak up saa mbili sa nne naingia kwenye relation na hayo masaa mawili ntakua mpweke sana ha ha ha
Unategemeana na kichwa cha mwanamke kuna wanawake wanahela xao na wanaadabu Kwa waume zao na washauri wazuri tuNikama siamini vile make wanaume wenyewe mnalalamika kuhusu wanawake wenye pesa eti Wana kiburi jeuri na uzushi uzushi mwingine mwingiii sasa hapa unafurahije?