Mahusiano ya siku hizi ni kuishi kwa machale tu. Ukiingia kwenye chama hicho cha kufungana ujue umeamua kuuza utu wako kabisa.
Maisha ya ndoa ni maisha ya kawaida kama maisha mengine, katika maisha yako ya kila siku kuna siku za furaha, siku za huzuni, siku za kucheka za kulia n.k
Sio kila anachotaka nawe utataka sio kila unachotaka wewe nae atataka hivo kutofautiana ni jambo la kawaida.
Kubali mapungufu, mvumilie uwezavyo na umuheshimu sana........
nimesema ni ya kawaida kwakua huwa kuna hofu unawaza huko kuna.nini ndo.maana nikasema ni kawaida.Asante sana nimekuelewa vizuri mno. Kwahiyo ambao hawajaingia chamani washangaike kuingia kwa sababu maisha ni ya kawaida kama maisha mengine kugombana kulia kucheka huzuni n.k?? Unasemaje hapo? Make wasichana tulio wengi tukikaa kwenye mahusiano kwa mda fulani kilio chetu ni ndoa ndoa ndoa
Vipi upande wa pili wewe binafsi unafurahia mahusiano yako?? Nini chanzo Au sababu ya furaha yako?? Maoni please
unafurahia mavituz huku upo jf......Nipo kwa bedi saivi nafurahia mavituz na my wife
Mimi nataka kwanza wewe ufaulu mtihani wa ubachelor!Maisha ya ndoa ni maisha ya kawaida kama maisha mengine, katika maisha yako ya kila siku kuna siku za furaha, siku za huzuni, siku za kucheka za kulia n.k
Sio kila anachotaka nawe utataka sio kila unachotaka wewe nae atataka hivo kutofautiana ni jambo la kawaida.
Kubali mapungufu, mvumilie uwezavyo na umuheshimu sana........
Kwa mkao niliomset inanifanya niweze kufanya shughuli zingine bila kuathili mtanange wetuunafurahia mavituz huku upo jf......
hii ni moja kati ya vitu vinaboa asee upo na mwenzio huku simu mkononi busy mtandaoni
nimesema ni ya kawaida kwakua huwa kuna hofu unawaza huko kuna.nini ndo.maana nikasema ni kawaida.
kuhusu kutaka kuingia huko inategemea, unataka kuingia? na unaingia kwa sababu zipi?mashost wameingia nawe unaingia ili wakukome?umri unaenda au?
hakuna kitu kama hicho.....Kwa mkao niliomset inanifanya niweze kufanya shughuli zingine bila kuathili mtanange wetu
Yes nafurahia mahusiano piaAhaa ok.. Vipi wewe binafsi unafurahia mahusiano uliyonayo?? If yes / no nini sababu?
Hiyo avatar yako tu..Inaniacha hoihakuna kitu kama hicho.....
ATTENTION ni kitu.muhimu sanaaaa
unafurahia mavituz huku upo jf......
hii ni moja kati ya vitu vinaboa asee upo na mwenzio huku simu mkononi busy mtandaoni
Mm nafurahia mahusiano nilonayo sababuAhaa ok.. Vipi wewe binafsi unafurahia mahusiano uliyonayo?? If yes / no nini sababu?