Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,204
Kuna dada flani humu nimemfukuzia kwa marefu na mapana lakini mpaka leo sijaona respond yeyote ,
Kila siku ananiignore na kuniita mimi Zero iQ kwa kuwa sina cha kumpa,
Nilichomwambia ni kwamba upendo wangu kwake unatosha kuliko kitu chochote ambacho anaweza kupewa na kumkosesha furaha katika dunia yake,
She is so beautiful japo sijawahi mface ila nimedata kwake ,sijui kama anamakinikia au lah lakini sitojari kwa kuwa nampenda ata nikimkuta ana sura kama ya baba yake nitavumilia ila aniruhusu tu tufanane,
Najua atapita hapa nimechoka kwenda PM kwake leo nasema wazi aje aniambie neno moja tu na Roho yangu itapona.