Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,968
Mgombea urais wa CCM 2020
Picha ya mwaka 1950 kabla ya uhuru
Kuna watu ni masikini na wanayafurahia maisha yao ya kifukara kuliko matajiri.
Huyu mzee atakuwa ni mhanga wa wale wa tuma pesa kwenye namba hii jina litakuja mwagubija mwana kipago[emoji12][emoji12]
Akimpatia upenyo tu utajua nini maana ya golden chance!!
Haya manati huko vijijini bado yapo.Picha ya mwaka 1950 kabla ya uhuru