Sema na wewe kwanini?

Mi niko hapa kusaka vimwana...

attachment.php

Inaonekana huyo demu si wake na ndiyo maana kamshika makalio ili angalau ajiridhishe!!!

MMU ina mambo kweli.
 
vitu hivyo ni kama vipi peri?

Masuala mazima ya mahusiano, ndoa, afya ya uzazi na mengine mengi.
Unajua kwavile watu wengi hawatumii majina halisi wala wengi hawaweki picha inakuwa rahisi mtu kuongea chochote
bila uoga na kutoa mchango wake.
Hakika jf hasa mmu na jukwaa la siasa kuna mengi mazuri,
kuna vitu hauwezi kuuliza pengine lkn ukija jf uasema tu na watu wanakushauri.
 
aisee! basi wewe uko shule haswaaaa!
 
Back
Top Bottom