Mbona hili si jipya. Kikwete anacheza rede na wajukuu zake pale ikulu, sembuse bao? Huyu mtu hafai kuwa kiongozi. Pale ikulu Nyerere alisema siyo sehemu ya majungu ama starehe, ila utashangaa Kikwete muda wote yupo anachungulia dirishani kuona nani yuko nje akacheze naye. Yaani hapo na hilo bao ndo kafika huyu mshikaji na msishangae akalala hapo hapo na kusahau kuwa huko ikulu wajukuu wanamsubiri kucheza rede. Huyu mtu, basi tu!