Sema LOLOTE kuhusu hii picha

Sema LOLOTE kuhusu hii picha

Joined
Apr 3, 2012
Posts
35
Reaction score
8
Mzee wa methali na semi za kiswahili anahusika
 

Attachments

  • jk.jpg
    jk.jpg
    70.5 KB · Views: 1,203
zee lenye mawani alitamani kukaa karibu na JK anatamani apayuke JK amsikie
nadhani bado anamwomba JK awe compain manager wake atakapogombea urais.
 
aliesimama ni nyoka, kulia mwa jk ni nyoka, nyuma ya jk ni nyoka, na hao waliojifanya wamevaa maovaroli sijui hapo nyuma kulia ni manyoka.
 
Kupiga 4 ni starehe............msiba una starehe?

mbona kwenye misiba mnakunywa mabia, pome za kienyeji n.k je? hizi sio starehe, mbona kwenye misiba sikuizi marehemu anasafirishwa na gari la kifahari na gharama za juu mpaka makaburini je hii sio starehe? kuna hadi mziki unafungwa skuizi, kuna kuwapamba wafiwa skuizije hizi sio starehe? vipigwe marufuku
 
jamaa kapiga koti wakat kuna joto balaa wenzake wanatamani wafungue vifungo eti
 
hiyo miwani kama ya shibuda, na mguu wa jk wa kulia una matatizo gani?
 
Back
Top Bottom