Sema LOLOTE kuhusu hii picha

Sema LOLOTE kuhusu hii picha

Chibuda amekaa pozi la kupiga picha
 
attachment.php

Namuona domokaya (Shibuda) kama kawaida yake anachonga mbaya kuliko wenzake.
 
aliesimama ni nyoka, kulia mwa jk ni nyoka, nyuma ya jk ni nyoka, na hao waliojifanya wamevaa maovaroli sijui hapo nyuma kulia ni manyoka.
"NI NYOKA" maana yake nini mkuu
 
Back
Top Bottom