na utadhani wao hawajapoteza hata moja.Wakati ligi kuu kapoteza mech mbili na europa moja hapo ndo ujue united ni timu kubwa hizo kelele zake wangekuwa wao wepoteza safi usingesikia na kuona thread
ambao walitakiwa kuwapa wachezaji wa timu zao..........Ndo wanazidi kumpa umaarufu sister
Haswaa.. Na kinachowasumbua ni dau alilolipiwaambao walitakiwa kuwapa wachezaji wa timu zao..........
hela atoe mwingine roho imuume mwingine......majanga.Haswaa.. Na kinachowasumbua ni dau alilolipiwa
Kazi kweli..hela atoe mwingine roho imuume mwingine......majanga.
kabisa wivu ndicho kinachowasumbua.Wivu tu
Acha waseme sasa hivi, watabadili kauli baadae. Believe me..Oscar Oscar Jr.
Kama kuna mtu bado anasema Paul Pogba alinunuliwa na United kwa bei asiyostahili, huyo mtu anaweza kuja kuwa mchawi akizeeka!!
August 20 at 12:08am · Public
1,121 · Like · React · 237 Comments ·
Share · Full Story · Report
[emoji115] [emoji115] [emoji115]
Hiyo ni game zid ya southampton aliupiga mwingi sna kila mmoja aliufyata kachemsha game kadhaa haterz mmeamka jamaa anajua halafu bado kinda tu 23 years alipokuwa juve kila mmoja alikuwa anamsifia shida ni kuja manchester united.
Hii inakuhusu
hela atoe mwingine roho imuume mwingine......majanga.
A man was quarreling with his wife and this is what ensued between them
Man: Ugly slut
Wife: Lazy idiot
Man: Stupid woman
Wife: Pogba
The woman was buried yesterday
Pogba akiendelea kupangwa na Fellaini kwenye mid-field maneno ya namna hii hayataisha. Anatakiwa kupangwa na wachezaji wa aina ya Schneiderlin, Carrick au Schweinsteiger ili aweze kucheza huru kama alipokuwa Juventus.
Ferguson hakupenda Pogba aondoke Manchester United, ila wakala wake ndie aliyefanya deal iliyompeleka Juventus 2012 (Ferguson aliandika kuhusu hilo katika kitabu chake pia)..
mwenzako anajina duniani.....we maliza maneno yote ila ndiyo hvyo unazidi kumwongezea jina.......hata wale ambao si mashabiki wa mpira kama Kasinde anamjua Pogba......shaurilo......
kazi tuliyowapa nyie ni kuzidi kumfanya ajulikane duniani........
Inshu ya pogba arsenal wanaongea sana sijui akiamkia kwao itakuwaje kuna mmoja shabik wa arsenal sitakuja kumsahau alinzihaki sana rashford wakat wanaingia uwanjani aliwatungua goli mbili jamaa alilowa balaa bado hajavuka mto mnamzonga mamba
Mwingine wa man city et huyo dogo hampit mangala akatupia kamoja jamaa kimya hiz thraed kuna siku mtajutia