jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,646
- Thread starter
- #81
Poleee!! Umeacha kuwachukia wakoloni waingereza,wajerumani na waarabu unawachukia wayahudi!! Something is wrong with youNawachukia sana mayaudi
Poleee!! Umeacha kuwachukia wakoloni waingereza,wajerumani na waarabu unawachukia wayahudi!! Something is wrong with youNawachukia sana mayaudi
Madai yako sio kweli mkuu yakusema kuwa wao ndoo race yenye akili zaidi hapa duniani?Ni kweli hawa watu wameshikamana sana na ndio race yenye akili zaidi dunian
Mbona umesahau kua Sodoma ni mji wa zamani wa PalestinaWashabiki wa Cameroon utawajua tuu
Hawana ukarimu ila ni potential kwa sababu wameleta teknologia, elimu na civilization ,ushoga mnajipendea wala hawalazmishi muwe wanataka haki ya kuishi iheshimiwe tu!! Hata internet unayoitumia n ya kwao!! Waarabu wametuletea utumwa,dini ya vita,kujitoa muhanga,na kuvaa kanzu!!....hata walimopita walishindwa kujenga hata shuleee!! Sitetei upande wwte but this is fact !!!Wazungu ni wema kwakuwa wanalazimisha ushoga,wanawashushia mabomu kisha wanawaletea maiti mikate, ukarimu ulioje huo
Ni rekebishe bas race IPI inaongoza kwa kuwa na watu wenye akili dunianiMadai yako sio kweli mkuu yakusema kuwa wao ndoo race yenye akili zaidi hapa duniani?
Ungesema wao ndoo mabingwa wa fitna katika hii duniani ningekuelea.
Waliangamizwa. Leo wazungu wamewazidi hata wao. Lay angefufuliwa mmoja aone wanayoyafanya leo,angekufa kwa mshtuko.Mbona umesahau kua Sodoma ni mji wa zamani wa Palestina
Waarabu hawakuleta utumwa bali in hao wazungu,na soko kubwa lilikuwa kwao.Hawana ukarimu ila ni potential kwa sababu wameleta teknologia, elimu na civilization ,ushoga mnajipendea wala hawalazmishi muwe wanataka haki ya kuishi iheshimiwe tu!! Hata internet unayoitumia n ya kwao!! Waarabu wametuletea utumwa,dini ya vita,kujitoa muhanga,na kuvaa kanzu!!....hata walimopita walishindwa kujenga hata shuleee!! Sitetei upande wwte but this is fact !!!
Ahsante Mkuu.. na ukweli huu hapa..Waarabu hawakuleta utumwa bali in hao wazungu,na soko kubwa lilikuwa kwao.
Wazungu walileta dini ya kufumba macho muombe kumbe wanamaliza tembo
Kuna vingi na mengi yaliyokuwepo, yapo na yatatokea Middle East, Hebu weka kinachokukera, kufurahisha, kusikitisha na kukukereketa kuhusu hii Mashariki ya kati, nchi, race, zone, politics na future.
Mi najua kwann unakataa kua waarabu hawakuleta utumwa sawa!! Utumwa haujawahi kuwepo afrika waarabu walileta elimu,dini,nakutusaidia waafrika!!....hapo vipWaarabu hawakuleta utumwa bali in hao wazungu,na soko kubwa lilikuwa kwao.
Wazungu walileta dini ya kufumba macho muombe kumbe wanamaliza tembo
umeshikwa pabaya aunt, jikaze tu hamna namna nyingine= wamedhulumiwa
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Ndo alishindwa sasa!! Taifa teule ilo sio ww mtumwa wa waarabu!! Ubaya wao kujilinda ,kulinda mipaka yao, ubaya wao kutotaka kuachia nchi yao ya ahadi!!
No one will win against Israel"
Na kwanza hawakutawala taifa lolote
Hao waarabu wangekua wazuri wangekuja kuwatumikisha huku na kulazmisha watu kuslim!!
History haidangaji mzee!!
ndio mahali penye gereza kubwa zaidi duniani (Gaza belt)Kuna vingi na mengi yaliyokuwepo, yapo na yatatokea Middle East, Hebu weka kinachokukera, kufurahisha, kusikitisha na kukukereketa kuhusu hii Mashariki ya kati, nchi, race, zone, politics na future.
Takbih!Mbona unahasira na wayahudi kuliko hata wakoloni waliokutawala ,unahasira na watu ambao hujawahi hata ishi nao !! Au umemezeshwa
ndio mahali penye gereza kubwa zaidi duniani (Gaza belt)
inawezekana mana ....sometimes a mad man can speak truthUna ugonjwa wa utindio wa ubongo wewe!!
Umetumia vigezo gan kutoa diagnosis yakoUna ugonjwa wa utindio wa ubongo wewe!!
Israel haipo middle east ipo norhern africaWanapendana kuliko watu wote duniani,hawa wayahudi,wanaongoza mataifa yote makubwa kutokea israeli,ufaransa,ujerumani,uingereza,markani n.k top secret za mataifa hayo ni za kwao kutokea middle east Israel.