Sema chochote kuhusu Middle East

Sema chochote kuhusu Middle East

Kuna vingi na mengi yaliyokuwepo, yapo na yatatokea Middle East, Hebu weka kinachokukera, kufurahisha, kusikitisha na kukukereketa kuhusu hii Mashariki ya kati, nchi, race, zone, politics na future.
nawaza tu hivi tunasemaga middle au far east tukimaanisha tukiwa wapi ndio inakuwa far east??
 
Israel haipo middle east ipo norhern africa
Ingawa hujakosea Ila hujajua unabisha nn!! IPO middle east,or northern Africa au south eastern of Europe
1469986413278.jpg
 
Kinachonikera: ni vita ya israel na palestina, haijalishi kua nafungamana na upande upi ila yale mauaji yanayotokea pale yanasikitisha sana (pande zote mbili) na cha kusikitisha zaidi ni kwamba ile vita haitaisha mpaka mwishowa ulimwengu huu, pia vita katika nchi nyingine kama syria ni mwiba mkubwa sana moyoni mwangu,

Kinachonifurahisha:middle east bhana ni moja ya sehemu ambayo watu wana akili kichiz, ukicheki israel, ukicheki iran, ni kwiki aisee... Pia ni sehemu ambayo watu wake wana misimamo sana, yan rais akiamua kukaza ndo anakaza mpaka mwisho
 
Kuna vingi na mengi yaliyokuwepo, yapo na yatatokea Middle East, Hebu weka kinachokukera, kufurahisha, kusikitisha na kukukereketa kuhusu hii Mashariki ya kati, nchi, race, zone, politics na future.

nakumbuka six day war ya 1967, hivi ilikuwaje nchi ndogo kama Israel ikashinda nchi za kiarabu ???
 
Kinachonikera: ni vita ya israel na palestina, haijalishi kua nafungamana na upande upi ila yale mauaji yanayotokea pale yanasikitisha sana (pande zote mbili) na cha kusikitisha zaidi ni kwamba ile vita haitaisha mpaka mwishowa ulimwengu huu, pia vita katika nchi nyingine kama syria ni mwiba mkubwa sana moyoni mwangu,

Kinachonifurahisha:middle east bhana ni moja ya sehemu ambayo watu wana akili kichiz, ukicheki israel, ukicheki iran, ni kwiki aisee... Pia ni sehemu ambayo watu wake wana misimamo sana, yan rais akiamua kukaza ndo anakaza mpaka mwisho
Palestina wakitaka vita iishe wanaweza kwa kuacha chokochoko kwa Taifa lililowazid kila kitu
 
Yaani hao jamaa mkiwashirikiria watu wao hata 3 tu haijarishi wana makosa au hawana, baasi taifa zima mtapata shida.
wanapendana hatari na hakuna taifa ambalo linawajari watu wake kma lile kuanzia wafungwa.
Tatizo moja ni wabaguzi hakuna mfano
Kwakuongezea mwanaijeshi wa Israel akufanyie nchi yeyote watahakikisha wanaipata maiti/mabaki yake kwa garama yoyote hata baada ya miaka 30.
 
Back
Top Bottom