Sema chochote kuhusu Middle East

Ubaguzi wao uko vipi Mkuu? Mimi nimeishi jirani na waalabu sijapata kuona watu wema kama waarabu,tumeishinao karne na karne hapa lkn sijaona chochote kibaya kutoka kwao..ni watu wenye imani na huruma zaidi kuliko mataifa yote unayoyajua, hakuna cha wazungu wala waislaeli wanaotuulia waafrika wenzetu, tatizo letu wabongo tunawashobokea mno watu hawa bila kujua wanatuchukia kias gani.myahudi ni ****** hafai hata kidogo.

Mimi kama mtanzania napinga sana ubaguzi jamani. Hebu watanzania wenzangu tuishi kwa amani na upendo na tuache racism, ni hayo tu mkuu
Wote wabaguzi wa kutupwa tena waarabu ndio mara million yao wazungu.
 
Muulize yule mbunge aliyekuwa anajifanya wakala wa kuwatafutia kazi uarabuni mabinti zetu,sasa hivi mabinti zetu wamewaharibu kwa tabia zao mbaya na wengine wamedhurumiwa haki zao huko,wewe waarabu noma sana si watu hao
Ubaguzi wa mwarabu ni mauaji kama iss
 
Middle east is middle east what's happen in middle east stays in middle east but there some part of middle east is the best place to be like Jordan kuna caves na tourist attraction zakuvutia plus the food mmmmmmh!! It's delicious you have to go there guys really you will enjoy it
The best places full of tourism attractions are Egypt and Israel Jordan will come third.
 
Kwa maana hiyo unataka Tanzania iwe kisiwa???Usawa gani wewe unaouzungumzia????Huwezi na fikra kama za mao from no where,lazima iwepo starting-Point ambayo ni kupata teckinolojia toka kwa wenye nazo toka nchi zilizoendelea kwenye viwanda,kilimo na mambo mengine mhimu kwa taifa letu.Tanzania haiwezi kuendelea kama tutajizungushia ukuta tuwe kama kisiwa,Thanks God sisi hatuko hivyo tumefungua milango kwa yeyote ambaye anaweza kuja kuwekeza hapa kwa maslahi ya taifa letu,bila kujali chuki za wenye chuki nasi.
elewa mkuu. Starting point ilikuwa kwenye Azimio la Arusha - Ujamaa na Kujitegemea. Think out of the box. Kwani Israel yeye starting point yake ilikuwa nini? Bado hujajiamini, unasubiri mtu atoke nje ndo akupe maendeleo.
 
Hivi kuandika hivyo mwenyewe unajiona upo sahihi kabisa? Ndivyo ulivyofundishwa kuandika hivyo na walimu wako? Au ni ujinga wa asili?
Heri ya mimi ambae sinaga tabia ya kusahihisha watu kwenye mabandiko yao mara kwa mara, sababu najua siwezi nikayaepuka makosa ya kiuandishi mara zote. Kuna muda lazima ntakosea tu.

Sasa wewe karibia kila comment unaishadadia kukosoa, sijui ndio kazi inayokukalisha humu..!! Alafu unaonekana ulikuwa bonge la kilaza kwenye kiswahili, umeanza kukijua vizuri uzeeni ndio maana unasumbua watu humu.
nasubiri usahihishe na hii
 
Kuna vingi na mengi yaliyokuwepo, yapo na yatatokea Middle East, Hebu weka kinachokukera, kufurahisha, kusikitisha na kukukereketa kuhusu hii Mashariki ya kati, nchi, race, zone, politics na future.
Mimi nipo hivi huku MidoEst !!.... afrodenzi karibu kwetu nchi ya kula raha hadi kiyama !!!
images
images
images
images
images
images
images


Tunatumbua tulicho nacho.. hatuombi ombi.. wala hatujikombi kwa mtu yyte !!
Echolima chongchung Mtakufa kwa chuki zenu... na jahanamu ni patakuwa makazi yenu !!
 
Upuuuzi wa kushobokea Israel na waarabu na kudanganyana tu. Kuna mambo kibao ya kujadili kuhusu Tanzania kabla sijaanza kuwajadili watu ambao hawajui hata uwepo wa nchi inayoitwa Tanzania. Amka Tanzania
 
Mimi nipo hivi huku MidoEst !!.... afrodenzi karibu kwetu nchi ya kula raha hadi kiyama !!!
images
images
images
images
images
images
images


Tunatumbua tulicho nacho.. hatuombi ombi.. wala hatujikombi kwa mtu yyte !!
Echolima chongchung Mtakufa kwa chuki zenu... na jahanamu ni patakuwa makazi yenu !!
Na kweli mnakula raha sikatai ila ukweli ndio huo na jehanam siendi watu wote ni wabaguzi ila wanatofautiana viwango.
Naomba nialike kwako nije kunywa coffee.
 
Yaani hao jamaa mkiwashirikiria watu wao hata 3 tu haijarishi wana makosa au hawana, baasi taifa zima mtapata shida.
wanapendana hatari na hakuna taifa ambalo linawajari watu wake kma lile kuanzia wafungwa.
Tatizo moja ni wabaguzi hakuna mfano
Hawawezi kuungana kama wamechanganyika
 
Back
Top Bottom