Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,641
MI nachojua Chinese practiced both capitalism and communism at same level ndio maana wapo hapo walipoLakini pia mkuu nchi zilizofuata Communism haziko sawa kiuchumi kwa sababu nyingi ziliubaka mfumo huo,kwa sababu Communism ni stage ya mwisho ya maendeleo na hii inakuja baada ya Capitalism,watu wanaoweza kwenda sawa ni watu wa Ulaya na Amerika walioendelea na Capitalism toka mwanzo kwa sababu Communism inahitaji miundo mbinu yote iwe sawa/safi,uchumi uko safi kuanzia serikalini mpaka kwa mtu mmoja mmoja.
Sasa nchi nyingi kama Tanzania kwa mfano iliingia kwenye mfumo wakati huo ndo iko inajijenga kitu ambacho kufeli ni lazima,China wameweza kwa kiasi fulani kwa sababu wao wana population kubwa pia hata miundombinu yao waliiweka sawa toka kipindi hiko,pia hapakuwa na external infuence ya nguvu ya kuwachanganya..............mi hupenda sana maandiko ya Karl Marx.....japo hata Adam Smith namkubali sana ambae ukijaribu kulinganisha hawa watu wawili theories zake ndo zinaongoza dunia ila hata Marx theories zake sio kwamba zimeshindwa la hasha bado muda wake mwafaka zitakuja kutumika na wakati huo dunia itakuwa pahala salama pa kuishi yaani kutakuwa na balance ofa power!!!!!
Sis tulijitia wajamaa kwa asilimia 100 we gained nothing kwa sababu tulikuwa akili za kujitegemea hatukuwa nazo...