MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,591
Miongoni mwa watu waliochangia mabadiliko makubwa ya kiuchumi, kiitikadi na kimantiki duniani ni Karl Marx na Adam Smith.
Mfano: Kitabu kilichotoka 1776, kilichoandikiwa na mchumi Adam Smith (Wealth of Nations) kilisababisha mapinduzi ya kiuchumi duniani na kupelekea uwepo wa capitalists.
Karl Marx, Mjerumani mwenye asili ya Uyahudi, aliyeishi maisha ya tabu, akisaidiwa na rafiki yake Angel, aliandika kitabu na machapisho yaliyoendana kinyume kabisa na CAPITALISM na kuonekana kana kwamba ni mtu asiyefaa. Lakini miaka michache baada ya kufa kwake ideas zake zilisambaa na kuigawa dunia katika vipande viwili; yaani Capitalism and Communism.
Unafahamu nini kuhusu hawa watu au watu waliokuwa kwenye milengo yao?
Karibu, sema chochote..