Sema chochote ''Kinachosadikika''

INASADIKIKA TANZANIA NI NCHI PEKEE INATOA MADINI YANAITWA TANZANITE LAKINI CHA AJABU YANAJULIKANA YANATOKEA KENYA NA SOUTH AFRICA..
 
Inasadikika kuwa sala ya nasadiki ya wanaosadiki Rc inawahusu musa na mary na sio Idd na Sadiki.
 
Inasadikika ukifanikiwa kulamba KIWIKO chako, jinsia yako itabadilika into the opposite!
 
Inasadikika watu wa pwani ni wavivu kiasi hata uongozi hawauwezi.Inasadikika hata wewe unao mfano hai.....
 
Inasadikika kwamba wanawake ndio hupata raha zaidi kuliko wanaume pindi wafanyapo mapenzi.
 
Inasadikika eti watu wenye matumbo makubwa ni wavivu wa kushusha mzigo(inye).
 
Inasadikika eti asilimia kubwa ya mash-oga ni kutoka mkoani Tang.a.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…