Sema chochote ''Kinachosadikika''

Nguva
 
Inasadikika kuwa eti Tanzania tutaandaa world cup 2058 na tutalibakisha kombe hilo hapa nyumbani kama walivofanya France mwaka 1998
 
Inasadikika mlima Kilimanjaro upo Kenya daraja la kigamboni lipo Kenya na CCM Ni Chama Cha Majipu
 
Inasadikika tabia ya kukurupuka haijaanza leo na huu ni mwanzo tu, vya kukurupuka vikubwa zaidi tutajionea
 
Inasadikika na kuaminika kuwa ili mchezaji wa Ulaya na Duniani akamilike basi ni lazima achezee klabu ya AC Milan
 
Inasadikika kuwa watu wa Mombasa wanapenda nyuma kiasi kuwa hata wakiingia church wanakaa nyuma na kwenye matatu wanataka nyuma tu, hata darasani utawakuta nyuma na kwenye matokeo class wanakuwa wa mwisho.
Inasadikika kukaa nyuma ndo kunakupa raha siku zote japokuwa unapitwa na vingi
 
inasadikika kulikuwa na bondia alikuwa na nguvu kiasi kwamba alipokuwa akipigana ilibidi afungwe mkono mmoja. Aliyetajwa nilimtafuta,nikakuta ni uongo
Inasadikika aya ya mwisho n uwongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…