[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa mbona we ulimjibu au unahisi sikuona [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye huo ugali nitaongezea kununua samaki
Hallelujah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mie mpoleee jamani mniwache kabisa Karma bint Mohamed,, sijawahi mjibu mtu vibaya humu jamani mimi
AiseeeNdondo hapa
Yeah, tayari nishakuwa mzee. Kwani unadhani uzee unaanzia umri gani binti
Hahaha, le mutuz ni mdogo wangu. Yeye 56 mimi 58.Kuanzia umri kama wa Le Mutuz[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Hamna mzee hapo
Sawa mdogo wangu
Moja dear
Niiletee
Nasubiria jibu
Niko hapa wanapaitaje sijui?!
Naona ofisi za Dar express, Dar Lux...
Umeona eeehhh
Na wewe mfuruge kabisaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndo style ya kunifukuza auu
Vyambamba [emoji85] emu nioneshe huko kwa waziri mkuu nihakikishe
Sh 10[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]hata mimi nimegundua hilo yaani JF kila mtu mzee basi hata mimi mzee kwani sh ngapi
Sawa mdogo wanguUkifungua niite