Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Weee Mimi ni mnyaki ogAnaza Mnyaki wa jina tu lakini Kinyaki anafahamu maneno manne tu:
1. Nkamu
2. Kyara
3. Ndaga fijo
4. Kalumbu
Hovyo kabisa. Wala hamna haki ya kujiita Wanyaki hata kama mnakwolifai kwenye vigezo vingine (mf. Vishundu). Mnyaki pekee humu ninayejua anakidhi vigezo vyote ni Mkurugenzi. Yaani hata akikitandika Kindali/Kinyaki chake you feel the pride that comes with knowing your mother tongue, your culture and ultimately yourself....
Acha tuKwani watu wakilala wanafanyaga nini usingizini? Wanakoroma ama? [emoji848][emoji848]
hapo Valuer ndio ingenoga ku mixiaRobertson wine plus image,wahuni wote peponi *****View attachment 2230997
Sent from my itel A509W using JamiiForums mobile app
Kwahiyo chaubishi mimi navaa kiatu cha mtoto kweli!Hiyo namba ukizidisha mara2 ndo size yangu😃
Ankal wine na valuer 😁😁Asante studioNapo Valuer ndio ingenoga ku mixia
Kunasiku nilichanganya bana Absolute,Jameson na Windhoek stori itaendelea baada ya commercial breakRobertson wine plus image,wahuni wote peponi *****View attachment 2230997
Sent from my itel A509W using JamiiForums mobile app
Asante dear..nipe matokeo ya coffeeRaba Kali [emoji3059]
Sijapendezwa na kauli zako.Sasa utajiitaje Mnyaki wakati Kinyaki hukijui? Mfaransa kweli anaweza kujiita Mfaransa wakati Kifaransa hakijui? Hiki kizazi chenu hiki kwa kweli ni pasua kichwa.
Eti umekomaa kabisa mi Mnyaki tena Mnyaki hasa ila Kinyaki sikijui na pua umebana [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Yani nipigwe na wewe upo!hapana kwakweli lazima nikuuzie ugomvi
Asante sana handsome man
Imeisha hiyo[emoji23]Irudiweeeeeeeeeee
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Fresh tu dear nasubir next week nikapime uzitoAsante dear..nipe matokeo ya coffee
Pole rafiki kama nime-sound negative. Nothing serious...Sometimes jokes can fall flat...and the joker is left to pick up the pieces. Samahani sana!Sijapendezwa na kauli zako.
VizuriFresh tu dear nasubir next week nikapime uzito
Yameisha.Pole rafiki kama nime-sound negative. Nothing serious...Sometimes jokes can fall flat...and the joker is left to pick up the pieces. Samahani sana!
Npo na demu ,naogopa kumlegeza mtoto wa watuNapo Valuer ndio ingenoga ku mixia
Ilikuwaje? Uliishia kutambaa ama?Kunasiku nilichanganya bana Absolute,Jameson na Windhoek stori itaendelea baada ya commercial break