Ukijifanya mjinga kidogo mbele ya watu utajifunza mambo mengi,kuhusu hao watu na tabia zao bila kutumia nguvu kubwa ambapo itakusaidia kujifunza zaidi namna ya kuishi na watu tofauti bila shari wala kelele,
Ukijifanya mjinga kidogo mabele ya watu utajifunza mambo mengi,kuhusu hao watu na tabia zao bila kutumia nguvu kubwa ambapo itakusaidia kujifunza zaidi namna ya kuishi na watu tofauti bila shari wala kelele,
Ningekua huko ningekuletea mama mchungaji huku wananzengo na wanafunzi wananileteaga mengi balaa
yani mihogo magimbi viazi karanga ndizi mboga za majani maparachichi kwa wingi sana!!