Hahahaa na me nilikua huku busy na pilika.Weeee kumbe ni saa 11 😂😂😂 na hunishtui?
Emu mie nipepeee
Nachat hapa nimejisahau kabisa.
Bye my wangu
See u on tsap
Hahahaa
Nice,hii bila shaka ni zenji
Heshima kwao.watu wapo humu jf tangu 2007
Heshima kwao.
MnoWanastahili
😂😂😂 ushuani vs ushuaniHahahaa na me nilikua huku busy na pilika.
Hope ushafika ushuani😃
Probability hizi hazisaidii kitu Captain. Suluhisho pekee ni kutopanda tu basi [emoji16][emoji16]Pilots are trained to not panic halafu they are paid to do it.
Jamaa ana deserve alifanya kitu kikubwa.
Halafu risk ya ajali kwenye gari ni kubwa zaidi kuliko ndege, ndege probability ni 1/9800 gari ni 1/100, ilipaswa uogope zaidi gari [emoji38]
Mpaka mababu zenu tupo mbona? [emoji123][emoji123][emoji123]Humu jf kuna hadi baba zetu
Ila si ajabu tunabishana nao majukwaani huko bila kujua[emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hujui kula samaki [emoji16][emoji16]
Una raha sana mtoto wa kishua😂😂😂😂 ushuani vs ushuani
Dk 10 nishafika ndani 🤪
[emoji7]Wakuu heshima zenu.
Pigo zako… in Mzabzab’s voice 😂[emoji7]
🤣🤣Una raha sana mtoto wa kishua😂