Selfika na JF: Snap it. Show it

Af hyo avatar yako sijaweza kuizoea unajua.
Nikiona notification inanishtuaπŸ˜‚ em badilisha bana
Me mwenyewe kuna muda najisahau πŸ˜‚πŸ˜‚ ila ni heri ushtuke kuliko mie nilivyobadilishwa jinsia huko mtaa wa 7.

Sasa wakati nasubiri new avatar from abroad, wacha hii iendelee kuwatesa.
 
Me mwenyewe kuna muda najisahau πŸ˜‚πŸ˜‚ ila ni heri ushtuke kuliko mie nilivyobadilishwa jinsia huko mtaa wa 7.

Sasa wakati nasubiri new avatar from abroad, wacha hii iendelee kuwatesa.
Na inatutesa si kidogo ujue, tuhurumie wenzako🀣🀣
Bora tu hiyo new avatar ije fasta tupumzike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…