Selfika na JF: Snap it. Show it

Ooh kumbe
Ndivyo ilivyo.
Hivi utamwachaje mwanamke humble?
Mcheshi?
Mwelewa?
Warembo wengi wakiona wanspendwa ..huanza kubwetrka..hawana lugha laini ya kimahaba tena.
Jeuri inasnza.
Ujue mwanamme pamoja na maguvu yake ni mwoga mno kuwa na mahusiano na mke jeuri..
Unajua kwanini William kakimbia?😅😅😅
 

Ah sahihi
Huwezi kumuacha hapo
Kwa hiyo wanawake wengi wanahisi wamefika kumbe bado safari mbichi .

Kwamba yule mdada ni mjeuri ? Nimeona picha zile ni huyo dada au
 
Kile kidada

Nilijua ipo siku

Atatoka baru

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…