Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,533
- 235,284
Nimecheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unafikiri ni joke au hadithi [emoji23] [emoji23] , its true..
Nina visa vya ajabu sana nimepitia, ngoja nije nifungue na uzi tuupige mwingi zaidi..
Ndio peke yakeDuh[emoji23][emoji119][emoji91][emoji119]
Pekeyake??
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
AiseeNdio peke yake
Ona hapo wameshikilia gauni tu wao
Na make up hiyo sasa [emoji23] View attachment 2228538
Haha sema ukiyakuta inabidi ufanye tuAisee
Sitaki mambo ya mila mimi
inasaidia sana, maana Kuna siku ukweni waweza pewa sufuria ya kilo mbili tu ya ugali ukakimbia.Nimeona huko siku ya mahari Bibi harusi anasonga ugali akiwa amevaa nguo zake View attachment 2228529
Tulifanikiwa kurudi tukatua Newfoundland, captain alikuja akaeleza kuna matatizo na wanafanya juhudi za kurudi kama tutafanikiwa kufanya emergence landing, so mungu ni mkubwa tuli land salama. hatukutua majini. Tulikuwa tunatoka USA, New Jersey, Newark.Nimecheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu nihadithie kingine nicheke tena
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mi hapana,imani yangu hairuhusu[emoji3]Haha sema ukiyakuta inabidi ufanye tu
Usije anza chuki na watu siku za mwanzoni hasa kwa mawifi .
Za juzi hizo, njoo dom
AiseeeTulifanikiwa kurudi tukatua Newfoundland, captain alikuja akaeleza kuna matatizo na wanafanya juhudi za kurudi kama tutafanikiwa kufanya emergence landing, so mungu ni mkubwa tuli land salama. hatukutua majini. Tulikuwa tunatoka USA, New Jersey, Newark.
Nina story za kuchekesha sana pia [emoji23] [emoji23]
Ooh sahihi ..inasaidia sana, maana Kuna siku ukweni waweza pewa sufuria ya kilo mbili tu ya ugali ukakimbia.
KhaaaahNdio peke yake
Ona hapo wameshikilia gauni tu wao
Na make up hiyo sasa [emoji23] View attachment 2228538
Duh siyo Kwa Hilo sufuria kuubwa namna hiyo[emoji1787]Ooh sahihi ..
Practice ni muhimu sana .. ukikuta inabidi ufanye sawa na tamaduni yao .
Yani hizi mila aiseeMi hapana,imani yangu hairuhusu[emoji3]
Watanisamehe
Familia zetu hisi za kiswahili Zina maneno maneno sana. Siku ukishindwa kuwasongea kijiugali cha watu wa tano utasikia Kaka yetu kapigwa hapa, hakuna mke kabisa. Kwaiyo Ni muhimu kuzingatiaOoh sahihi ..
Practice ni muhimu sana .. ukikuta inabidi ufanye sawa na tamaduni yao .
Eeh noma sanaDuh siyo Kwa Hilo sufuria kuubwa namna hiyo[emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Marahaba mdogo wangu