Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Magazeti huwa naitikaga tuu hata kama huko katikati nimetukanwa I don't care!

Sikumbuki lini niliandika gazeti jamani! Hebu ukuwe mkubwa uwe kama mimi tuu!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi unavuta bangi ya wapi dada??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuliona tuu meshtuka mimi, hata kama nilikuwa na yale makitu hamu inaisha jamanii!!!

Hujaliona vizuri wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…