Mama la Mamaa
mahondaw umelala au unatucheki kama guest user
fanya namna maana wewe ni namba ingine uzuri na urembo wako haulezeki hata wanaotumwa kukuhujumu ili nafsi yako iiname wameisha fail tayari wewe ni habari ingine ingine matawi ya juu hadi mbinguni yanafika .. ebu fanya namna wajomba tufurahi alafu tulale
mama usiw na mkuu mpolena mtulivu mwenye huna makuu wala sio muongeaji eeh yani yule mwanamke wa mithali ndio wewe