Njoo basi kwa hakimu au hapa msikitini hapa napata tangawizi alafu twende kwangu ukapaone π π π π«₯ hata siku hatuonekani basi unajua napatikana wapiNi wewe ulikuja bila taarifa [emoji17]
Inaitwa Injera.. ni ethiopian foodNdio vinini hivi mdogo wetu??
Na ikichacha si ndio tunapika injeraMwenzio mi cha uroho Ila hiyo recipe yake imenishindaπ€£π€£π€£
We ngano uiache ilale si inachachaπ€£
Kwako ni mtaa msikitini??Njoo basi kwa hakimu au hapa msikitini hapa napata tangawizi alafu twende kwangu ukapaone [emoji28][emoji28][emoji28]π«₯ hata siku hatuonekani basi unajua napatikana wapi
Duh!Inaitwa Injera.. ni ethiopian food
Huo mchapati wa ngano iliyochechushwa, wanakusevia na kuku, nyama ya kondoo, ya ngβombe na sauce .
Very appealing ikiwa kwa plate [emoji1787] ila sasa hapo mdomoni ni noma
Nimepotea najikuta nipo pm kwakoUmepotelea wapi mkuu?
Pm kuna mbwa wakaliNimepotea najikuta nipo pm kwako
Nitakubonda πNataka uumwe na leoπ€£π€£π€£π€£π€£
Kwa jinsi ww mwenyewe ulivyo mkali pisi kali any Ninajua jinsi ya kuwadhibitiPm kuna mbwa wakali
Eeh msikitini tu hapa πKwako ni mtaa msikitini??
Nisubiri nipande bajaji
Mbona husemi siku zote?Eeh msikitini tu hapa [emoji16]
Nina hofu watakurarua kabla hujaingia.Kwa jinsi ww mwenyewe ulivyo mkali pisi kali any Ninajua jinsi ya kuwadhibiti
kafuru ndio wapi tenaaa π«£π«£π«£Mbona husemi siku zote?
Njoo hapa kifuru.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kafuru ndio wapi tenaaa π«£π«£π«£
Nipo nyuma yako hapaEbuu njoo unisalimie basi Saint Anne View attachment 2227014
[emoji23][emoji23][emoji23]With my baby gal [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]View attachment 2227013
Kinyerezei tena huko mbalii bwanaaa π« π« βΊοΈ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe wewe siyo mwenyeji kabisa.
Njoo hapa kinyerezi Park.
Nyuma yangu wafanyaje tenaa π πNipo nyuma yako hapa