Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dada hawa wanaume wa jf wana cha kuonekana cheap?? Sie wanawake tukikubali haraka ndiyo tunaonekana cheap ila kwao kukubali haraka ndiyo urijali!! Mwanaume akitongozwa akachomoa anaonekana tonji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lazima aringe kidogo, akikubali haraka ataonekana cheap
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi ningemuona cheap kwa kweli, yaani akubali siku hiyo hiyo jamani!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sasa pm si umefunga??
Hivi kumbe bado unakumbuka ile siku uliyonimaindi enh??

Mie hata sikuuliza kwa ubaya ila ulishindwa kunielewa tu but sikuchukia ndiyo maana niliendelea kukutania[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hahahahahaha
Hebu wataje pm hukoo mdogo wangu mzuri mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…