Sio kwakuringa huko ππππ PM zenyewe zipo wazi basi sasaaa, yani wame select wa kuwasiliana nao, kila ukituma unakutana na huwezi tuma message kwa huyu ... unageuza kimya kimyaaa na ikifanikiwa kwenda utajibiwa baada ya miezi ila hapa unakuta ana ku like na ana quote ila PM hajibu π π π
Najua kwanini umeuliza π ila hata Dar inatokea πMkuu hii ni Arusha nini?[emoji41][emoji41][emoji41]
Hapo juu kuna jamaa joined 2013 tazama messages na hilo pozi alivyovaa glasses.Nimepitwa tayari nini π¬π¬π³π³π³π³
si kama hivi tunasherehesha siku nzima lakini wapi πππ hatueleweki kama vile tunapiga gitaa ng'ombe acheze bluesSio kwakuringa huko π
Basi fanyeni kuwaβimpress humu ili wao ndo waanze kuwatumia maPM.
Hmmm...embu nifafanulie na mimi ππNajua kwanini umeuliza π ila hata Dar inatokea π
DarSlum tu.Mkuu hii ni Arusha nini?[emoji41][emoji41][emoji41]
ππ hao ndio wabayaa sasa, wamepita kuangalia makoloni yao .. nimeona π€¦ββοΈπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈHapo juu kuna jamaa joined 2013 tazama messages.
Mpaka hapo mshajua kusherehesha hakusaidii. Badilisheni game!πsi kama hivi tunasherehesha siku nzima lakini wapi πππ hatueleweki kama vile tunapiga gitaa ng'ombe acheze blues
Portion ya chakula naona umeongeza[emoji4]Ndo napambana kurudi....[emoji2216][emoji2216]
Sijaongeza...mchele mbichi ndo unaniponza.π¬π¬Portion ya chakula naona umeongeza[emoji4]
Umenikata kabisaaa maini π€¦ββοΈπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈ dah! πΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈ acha wenye mbavu tuwapisheMpaka hapo mshajua kusherehesha hakusaidii. Badilisheni game!π
Mi najaribu kukusaidia ujue.....Umenikata kabisaaa maini π€¦ββοΈπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈ dah! πΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈ acha wenye mbavu tuwapishe
ππππ kazi sana, ujue niweka picha tunavyo onekana washerehsaji basi tu ushunguuu sanaaaaMi najaribu kukusaidia ujue.....
Ila sasa hata nyama hagusiπ€£π€£π€£Mjep kama simba mwendo pole vile... ila ngoja aje π π π
Na wewe fungua pm mkuuKumbe ndio wana tabia mbaya hivyo kupotezea PM zenu jaman
Nyie mabinti msiwafanyie hivi vijana wangu. Kumbe wanawachekea tu humu, PM wanawachunia?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3] PM zenyewe zipo wazi basi sasaaa, yani wame select wa kuwasiliana nao, kila ukituma unakutana na huwezi tuma message kwa huyu ... unageuza kimya kimyaaa na ikifanikiwa kwenda utajibiwa baada ya miezi ila hapa unakuta ana ku like na ana quote ila PM hajibu [emoji28][emoji28][emoji28]
π π π π .. ma big boy malaji yanachekaaa huko yanatuona kama vingwendu comedianIla sasa hata nyama hagusiπ€£π€£π€£