ππ rubani!!π π π Najua nitaendelea kula kwa macho..
Umekuwa chibonge
Mkuu leo tuhakikishe tunapita pita huko PM kujaribu bahati zetu.ila ndio ivyo pia tutaishia kula kwa machoo tu , na hapo ndio maumivu yalipo walaji huwaoni hapa wanatazama tu tena kama guest user akilogin ni kwa tukio... βΉοΈβΉοΈβΉοΈβΉοΈ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]FA lina hela
SA niache
Umeogopa nini lakiniπ€£π€£Hii missed call kwema? Mpaka nimeogopa πππ
Nilikuwa kwa π
Ndo napambana kurudi....πΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈUmekuwa chibonge
πππ PM zenyewe zipo wazi basi sasaaa, yani wame select wa kuwasiliana nao, kila ukituma unakutana na huwezi tuma message kwa huyu ... unageuza kimya kimyaaa na ikifanikiwa kwenda utajibiwa baada ya miezi ila hapa unakuta ana ku like na ana quote ila PM hajibu π π πMkuu leo tuhakikishe tunapita pita huko PM kujaribu bahati zetu.
π€£π€£π€£ ndio maisha bestInauma sana, maana unaona ila huli ni kama umewekewa chakula hapo ila huna access ya kula unaishia kutoa mate tu π©π©π©
Piga π€£ nimeshika simu..Umeogopa nini lakiniπ€£π€£
Kuna jambo nimekumbuka nikataka nikuulize, nakupigia.
π π π π hata nilipo naangalia magari mazuri ila siwezi yapata ndio kama humu sasaa tunaangalia tu, tunapita kushoroKuangalia mapisi πππ€£π€£
Kumbe ndio wana tabia mbaya hivyo kupotezea PM zenu jamanπππ PM zenyewe zipo wazi basi sasaaa, yani wame select wa kuwasiliana nao, kila ukituma unakutana na huwezi tuma message kwa huyu ... unageuza kimya kimyaaa na ikifanikiwa kwenda utajibiwa baada ya miezi ila hapa unakuta ana ku like na ana quote ila PM hajibu π π π
inasikitisha sanaaaπ€£π€£π€£ ndio maisha best
Inasikitisha sanaa πππ ila sawa tuKumbe ndio wana tabia mbaya hivyo kupotezea PM zenu jaman
Sasa muite Mjep mara moja nimwambie kitu, Mjep tumemuweka kitengo wizara ya kuhakikisha pisi zinapata bando, muite tuongee jambo.πππ PM zenyewe zipo wazi basi sasaaa, yani wame select wa kuwasiliana nao, kila ukituma unakutana na huwezi tuma message kwa huyu ... unageuza kimya kimyaaa na ikifanikiwa kwenda utajibiwa baada ya miezi ila hapa unakuta ana ku like na ana quote ila PM hajibu π π π
Mkuu hii ni Arusha nini?[emoji41][emoji41][emoji41]