Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji28][emoji28][emoji28] shangazi nitahamia kwako kibarua kikiota nyasi, maana kuna watu hapa nimeshtuka watu wengi sana wanachungulia kimyaa kimyaaa, unaweza kuta nimeisha kwaluza na boss alafu akiniona ndio mie kesho naanza kula majani

Mjomba majani si ndio mazuri unaongezea tu rasta unahamia jamaica[emoji2][emoji2]
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Wazee wa mpito, kimbilio linabaki kwa mashangazi ukienda unakula hata chakula cha kina junior tu siku inaenda
hahahaaaa... shangazi watakuzeesha tu Mabinti Ndio wanakufaa wewedamu bado inachemka! Mashangazi washakula sana sana ujana saivi hawatamaniki na hekaheka zenu hawaziwezi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…