Selfika na JF: Snap it. Show it

Siku nyingine si mnaziwahi lakini !!!!!! Afu na pilot Mnaniangusha Shangazi enu bana mnakwama wapi hadi kufikia hatua ya kulia live banaaaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‰πŸ˜œ!!!
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… shangazi nitahamia kwako kibarua kikiota nyasi, maana kuna watu hapa nimeshtuka watu wengi sana wanachungulia kimyaa kimyaaa, unaweza kuta nimeisha kwaluza na boss alafu akiniona ndio mie kesho naanza kula majani
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!! mtu kama Pilot na baba pasta.... wanakwama wapi lakini!!! Mie siamini waongo hao!!
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mambo ya kuja kutangazwaaa humu acha tuyaepukeee unaweza kimbia jukwaa hadi ukavunjika miguuu ukisikia tu jf unabaki.. muelekeza tu Post M-alone mbinu nae apate chochote mie simo nimekubali kushindwaaa

 
Wewe Utakua ni mkorofi fulani mjomba!! !!! 🀣🀣😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…