Selfika na JF: Snap it. Show it

Ninavyoogopa maji sasa,, naonaga kama mtu yupo kwenye maji ananiita/ananivuta,,Mungu tu ananisaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kila mtu kwenye maisha Kuna kitu anakiogopa bila sababu, ni kawaida.

Mfano Heaven Sent Kuna vitu anaviogopa ila atakuja hapa mwenyewe aseme.

Binafsi naogopa kinyonga kuliko maelezo, ntaua nyoka na Kila aina ya kiumbe lakini kinyonga nikimuona tu, nasisimka Kwa hofu, sitaki hata kumwangalia.

Kimsingi sitaki iwe karibu sana na maji ila niwe naweza kuyaona maji nikiwa ndani ya kanyumba kenye madirisha makubwaaaa ya viooo.
 
jamani,kinyonga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru ujumbe wako umefika. 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…