Selfika na JF: Snap it. Show it

SYB laivu bila chenga leo.

Miaka 76 and counting wapendwa...

Mungu ni mwema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Dadeki SYB nina bahati ya mtende. Yaani nimejiripua laivu bila emoji wala nini kumbe hakuna hata mtu mmoja aliyeko online?

Na kesho najiripua tena mida kama hii hii [emoji123][emoji123][emoji123]

Dadeki SYB nina bahati ya mtende. Yaani nimejiripua laivu bila emoji wala nini kumbe hakuna hata mtu mmoja aliyeko online?

Na kesho najiripua tena mida kama hii hii [emoji123][emoji123][emoji123]

View attachment 2224778
Kwa hiyo huyo apo ndio wewe [emoji1787][emoji1787] una makusudi sana. Nimekuja mbio eti nakutana na hicho kitu hapo, kesi yangu na wewe haitakaa ikaisha wee haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…