Miss you more sweetheart 😘!Jana nilikuita ushuhudie mavituz mambo yalikua bam bam humu!Hamjambo naona mko na speeed ya 5G
Alafu nimepitwa [emoji24] balaa Yan kila kitu mmefuta looh@mahondaw madam nimewamiss
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Nimeona mda ushapita na picha zao wamefuta kabisa sijaambulia hata moja[emoji23][emoji23]Miss you more sweetheart [emoji8]!Jana nilikuita ushuhudie mavituz mambo yalikua bam bam humu!
Hi mrembo!!!
Hi!! 👋 Hawa the bus driver!! 🙂
Davoo? 🤩
How's the weekend treating you?Hi mrembo!!!
It's for real chombo inaondoka hiyoo😂😂Davoo? 🤩
Au ilikuwa’sogea basi uniphotoe moja nifanye kama nachomeka flash vizuri 😄
Naendesha magari tu sitauendesha moyo wa babe spider😂
Iko poa sana, naona unasukuma chombo nzito.How's the weekend treating you?
Sawa madam CPA 😉It's for real chombo inaondoka hiyoo😂😂
Thank you,😂Iko poa sana, naona unasukuma chombo nzito.
Sitaki hata kukumbuka maana ni jana tu nimetoka kwenye pepa gumu hilo kama maisha yangu😂Sawa madam CPA 😉
Hahaha komaaa banaSitaki hata kukumbuka maana ni jana tu nimetoka kwenye pepa gumu hilo kama maisha yangu😂
Wa mchongo🤣🤣[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Wewe ni mpakwa mafuta mtumishi wa Mungu unae maono ujue best
Umeishi sana, mid 30s
Tumsifu Yesu Kristo mama mchungaji.Umeishi sana, mid 30s