Ah kumbeNdy kafanya Kwanza nakuona mrembo..asante sn
Bado Strawbella na Kelsea
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ok..mrembo snAh kumbe
nimeweka picha nyingi sema zilikuwa hazikai muda mrefu nawahi kuzifuta .. hii imekaa
Hujawah niona kabisa kabisa?Ndy Kwanza nakuona mrembo..asante sn
Bado Strawbella na Kelsea
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
🫂
Hivi ni kwa sababu natumia App ama inakuaje, kuna muda naona kiboksi tu kama hapo. Rafiki hiyo ni emoji au?
Sorry nilichanganya bana..ni Heaven Sent ndy sijabahatika kumuona,mara nyingi napishana na picha zake
Sijajua shida itakuwa ni nini, lakini hiyo ni emoji kama unavyoiona hapo chini.Hivi ni kwa sababu natumia App ama inakuaje, kuna muda naona kiboksi tu kama hapo. Rafiki hiyo ni emoji au?View attachment 2221885
Sent using Jamii Forums mobile app
Owky.Sorry nilichanganya bana..ni Heaven Sent ndy sijabahatika kumuona,mara nyingi napishana na picha zake
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ooh thnx. Nahisi sababu natumia App inaniletea mapicha picha sana.Sijajua shida itakuwa ni nini, lakini hiyo ni emoji kama unavyoiona hapo chini.View attachment 2221898
Click hiyo postHivi ni kwa sababu natumia App ama inakuaje, kuna muda naona kiboksi tu kama hapo. Rafiki hiyo ni emoji au?View attachment 2221885
Sent using Jamii Forums mobile app
The Rub Spa tu panatosha ☺ya ki Thailand 🇹🇭 😁😁
Ushuani kwako eeh 😁😁Jogging..Ila mtoni kijichi watu wamejenga aseeView attachment 2221899
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
[emoji1787]Low cut km Yule binti wa ifm wa chupa ya milinda[emoji41][emoji41][emoji41]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
ipi hapa niweke order yakoThe Rub Spa tu panatosha ☺
Nasubiria gift card 😌😌
Tenana hata hiyo rangi inaonesha kuna nyuzi joto za kutosha
Si ajabu mjukuu wangu cocastic akasema hii nyumba imejengwa kishamba! [emoji16][emoji16][emoji16]Jogging..Ila mtoni kijichi watu wamejenga aseeView attachment 2221899
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app