Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Baridi halijakolea huko?
π π π Unauliza majia baharini... kanapenyaa hatariiBaridi halijakolea huko?
Kwema lakini mkuuSafi sanaaaa mkuu
Nigawie shingo kama hiyo
Siipatii picha aiseeπ π π Unauliza majia baharini... kanapenyaa hatarii
Leo lipstick juu
hapa town mbona jotooo natembea na vest kabisaa baridi lipo juu ukiwa unaenda mandege unagandaaa mida kama hii π π πSiipatii picha aisee
Kwema kabisa kamandaKwema lakini mkuu
Tinsley mzuri wewe(lipsi nzuri zinasadifu)
Vizuri sana kama ni kwema kabisa mkuuKwema kabisa kamanda
Unipe zawadi basi maana na kuchoka kote bado nimetupia selfie. π₯΄π€πππππ€π€π€ mbingu zimepitishaa tayari sitii neno tena, mambo tuyapendayoo yaleee
Ndy Kwanza nakuona mrembo..asante sn
Toka ukatembee tembee kidogo πYaani mnazidi kunichanganya, nishachanganikiwa kabisa.
πππ zawadi ya kuondoa kuchoka eeeh.. au chagua basi zawadi nifanye hapa cha chap ikufikieUnipe zawadi basi maana na kuchoka kote bado nimetupia selfie. π₯΄π€
Spa treatment π ππππ zawadi ya kuondoa kuchoka eeeh.. au chagua basi zawadi nifanye hapa cha chap ikufikie
Awwh nitakupa tu hiiNigawie shingo kama hiyo
ya ki Thailand πΉπ ππSpa treatment π π
Yaani lipstick inakupa confidence fulani hiviLeo lipstick juu