Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,213
- 29,381
Moyo unaona aibu Kusema hadharani..Maskini pole [emoji1][emoji1][emoji1]
Umeshaipeleleza?
Low cut km Yule binti wa ifm wa chupa ya milinda[emoji41][emoji41][emoji41]yaah! yes napenda sana low cut ni kiona low cut naelewa sanaa
Ewaaa ndio mambo nipendayo hayo aseee.. kwa mala moja moja anazitia moto hivi aaah acha kabisaLow cut km Yule binti wa ifm wa chupa ya milinda[emoji41][emoji41][emoji41]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Yaani mnazidi kunichanganya, nishachanganikiwa kabisa.
Hakika [emoji4][emoji4]Hela km hela..
hela ambayo hata ukiniambia baby nitumie pesa ya kujiunga kifurushi nikituma laki nione km nimetuma buku ya kujiunga GB 1
Ukiomba milioni ya Brazilian hair nakupa bila kuhesabu
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Huo mguu unaongea mengi sana we acha tu.Lizzy ni hatari ana vitu flani hivi vipo sex yani unavutika sijui urimbo kama ndege akitazama na kutua kanasaaa π₯π₯π₯ humu unaweza patwa na mchemcheto
na hata hiyo rangi inaonesha kuna nyuzi joto za kutoshaHuo mguu unaongea mengi sana we acha tu.
Naunga mkono hoja.na hata hiyo rangi inaonesha kuna nyuzi joto za kutosha
Hao wanao baki inakuwaje sasa π π πKwahiyo tuseme kwamba wakina Lovelucky ni wengi kuliko sisi[emoji41][emoji41] View attachment 2221831
Safi sanaaaa mkuupretty Girls By iyaz feat TravieView attachment 2221830
Ni muongeaji aliyekubuhu huyo wige [emoji23]Hahahahaaaa! Maneno Anne akasome [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Njoo uniungishe barafu basi mwanangu.Unamchokoza
Kiuno nyigu[emoji1787]
Ngoja aje
Nadhani atakuwa
Kimara darajani
Akipiga mishe
Shangazi naomba urudie picha la lile Buti linafika magotini .Wige mi sijakuona[emoji3525]