Selfika na JF: Snap it. Show it



Sangoma jaribu kuwa mstaarab kidogo, unatuonyesha picha za pumbu zako ili iweje?
 
Sawa auntie
 
nimecheka hapo "ila kuna mwingine mkisalimiana mnaishia hapo hapo"

Haki vile huo ni ukweli kabisa kila ukitafuta cha kumuongelesha kwenye texts unajikuta unaandika unafuta unaandika unafuta hadi unaona bora uache tu muishie kwenye salamu japo mimi huwa najitahidi sana ku make friends
 
Ndio hivyo, kikubwa mnachoweza kuongea ni salamu tu mmemaliza

Vingine vinagoma.
 
acha tu sema kinachofanya niwe hivyo ni aibu tu,, na pia huwa nawaza nisije nikaongea au nikaandika kitu kikamkera au kikamboa mtu..maana huwa sipendi kumkwaza mtu

Na katika maisha yangu siwezi kuishi na mtu aliye serious muda wote maana mimi napenda sana utani hivyo nitamuogopa,, na hata hapa JF tu kuna watu siwezi kuthubutu kuwatania hata kwa bahati mbaya..
Ndio hivyo, kikubwa mnachoweza kuongea ni salamu tu mmemaliza

Vingine vinagoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…