Na kamwili kake kako very flexible mauno kama yoteππ€£π€£π€£ kinamwaga miuno likely imeisha hiyooo
ππππππππ niache nitalia ujue
Unene unakuja wenyewe, ngoja nianze mazoezi.Ukishakuwa mfupi sasa unaruhusu unene wa nini π€£π€£π€£
Sasa we daily choma unadhani unene utakuepuka?Unene unakuja wenyewe, ngoja nianze mazoezi.
π feni mbovuNa kamwili kake kako very flexible mauno kama yoteπ
Usilie bestie angu ndio ukubwa huoπ€£π€£
Shangazi Strawbella [emoji41][emoji41]
Unene unakuja wenyewe, ngoja nianze mazoezi.Ukishakuwa mfupi sasa unaruhusu unene wa nini π€£π€£π€£
Ulale unono Shangazi shangazi Strawbella πππ Muumba wako akutunze na kukulinda[emoji1602]
π€£π€£π€£π feni mbovu
π€£π€£π€£ ukubwa jau
Upunguze kula[emoji16]Unene unakuja wenyewe, ngoja nianze mazoezi.
Kwema, then mjukuu wako kaniblock! [emoji2365][emoji2365][emoji2365]Asante.
Kwema lakini ?
Ulale unono Shangazi shangazi Strawbella [emoji16][emoji16][emoji16] Muumba wako akutunze na kukulinda
Mie kibonge mwepesi.Sasa we daily choma unadhani unene utakuepuka?
Emu jipost nikuoneMie kibonge mwepesi.
Nitaku tag.Emu jipost nikuone
Salama shangaz umeshindajeSalama?[emoji2][emoji2]
Mbona hata sili sana, kama wali nusu kilo na nyama na ndizi kama 4, mbona ni kipimo cha kawaida kabisa π
Duh [emoji16] wali nusu kiloMbona hata sili sana, kama wali nusu kilo na nyama na ndizi kama 4, mbona ni kipimo cha kawaida kabisa [emoji16]