Selfika na JF: Snap it. Show it

Muulize eti kwanini akujibu vile!! Ila mmhh naona sasa unataka unilete ili niingie kingi halafu unichonganishe naye siyo??

Hawezi kuacha kulike anakutania tu mwaya

Siwezi kusahau kitu muhimu hivyo jamani!!

Kwa nini eti jamani anijibu vilee!? Najua auntie kachua hadi roho ya babu yetu
 
Muulize eti kwanini akujibu vile!! Ila mmhh naona sasa unataka unilete ili niingie kingi halafu unichonganishe naye siyo??

Hawezi kuacha kulike anakutania tu mwaya

Sawa bwana, naona unanibadilishia gia angani jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…