nacheka km mwehu. Kuna mtu aliwahi nambia PM eti mie sio binadamu wa kawaida, mbna siko emotional
Anasema hata nipanikishwee vipi au nichukizwe ndo kwanzaa nafurahi na kuchekaaa. Sasa jaman na nyuma ya Keyboard nioneshe emotionals? Pengne ktk maisha halis mie ndo niko emotional kuliko hata wanavyofikiri.