[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niwachee
Lini nimekuzevezaa mimi jamani
Ipo wazi kwa kila mtuuuu dearrr
[emoji123][emoji123][emoji123]nitayaongoza mimi
Hamna tatizo
Tuanze upya sasa jamani
Nisamehe mimi jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tangu wiki iliyopita unanizeveza tu mimi jamani
HujamboSawa sawa kabisa
NdiwoooEti enh??
Unahitaji maombi wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikakumbuka ile ya "nimemmiss mtu, anajijua"
Unakuwa umeua ndege 9 kwa jiwe moja.
Wasiwasi upi tena ?
Haya mambo yapo bongo tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787].[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikakumbuka ile ya "nimemmiss mtu, anajijua"
Unakuwa umeua ndege 9 kwa jiwe moja.
NemekununiaKumbe umefungua??
Umeona eeehhhNikiona hivi huwa najikuta natabasamu kwa bashasha
Joka la mdimu
Unacheka nini eti jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]