Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,835
Hao unaokutana nao ni wa mjini au kijijini? Siku hizi ubabe wa nini tena jamani? Nani utamfanyia ubabe siku hizi?Hapo ndo sijui mm sijaona hao mil 12 nimewaona naoishi nao
Semaunajitetea [emoji16]ubabe usipinge na [emoji249] Kama kawa
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Safari zako nyingi za utalii wa ndani huwa unapita Mwanza na Lamadi. Jifunze Kisukuma japo kidogo kitakusaidia njiani huko hata ukiwaona Wasukuma wananunua miwa na mahindi pamoja na mayai huko njiani upige nao stori...Wa kienyeji T 1990 ELY ulichokifuta ukirudishe.
Hafu mnaongea sana kilugha nifundisheni basi[emoji21][emoji21]
Kuna watu wana roho ngumu!
[emoji23][emoji23][emoji23]Marahaba mjukuu.
Mimi sisusagi japo ni last born....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Babu,mie huyo natafuta ubavu wangu hapa,tuyajenge maisha[emoji23]Kuna watu wana roho ngumu!
Looh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hao unaokutana nao ni wa mjini au kijijini? Siku hizi ubabe wa nini tena jamani? Nani utamfanyia ubabe siku hizi?
Huyu dogo nimemlea mwenyewe na nimezunguka naye duniani kote mwenyewe. Hana ubabe hata chembe. Si utaona? [emoji16][emoji16][emoji16]
Nikikaa na msukuma seat moja moja kwa moja naona maisha yameshavurugika(utulivu unatoweka)Safari zako nyingi za utalii wa ndani huwa unapita Mwanza na Lamadi. Jifunze Kisukuma japo kidogo kitakusaidia njiani huko hata ukiwaona Wasukuma wananunua miwa na mahindi pamoja na mayai huko njiani upige nao stori...
Hujambo binti?
Umekunywa lemon juice na black coffee leo asubuhi??
Miye poa kabisa aisee...Nikikaa na msukuma seat moja moja kwa moja naona maisha yameshavurugika(utulivu unatoweka)
Ninyi mkianza kunifundisha niko tayar.lakini hawa wa kwenye mabas lamadi Sijui wapiwapi huko hapana kwakweli waniache niendelee na safari Kwa Amani ya bwana Kwa utulivu.
Sijambo.habari yako!
Vyema.Miye poa kabisa aisee...
Kazi ya kukufundisha Kisukuma hiyo namwachia wa kienyeji mwenzio Elly! [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] teeenaaaah.Imeisha hyoo[emoji23][emoji23] oya coca lazima nkutafute
Nitakuwa around kusimamia masomo yanavyoendelea....Vyema.
Nilikuwa naisubiria hii ruhusa Kwa muda mrefu🙏👏
Naimani nitaelewa mapema mno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] shangazi unataka nilale mapema yote hii?Mkuu wa kamati ya portable selfika
Niaje mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utajiju sikupi umbea sasa.
Jamani loooh,,,,,,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utajiju sikupi umbea sasa.
Rafiki yako kitumbo A Kakutwa na jambo huko. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka Kwa sauti sana.😆😆Nitakuwa around kusimamia masomo yanavyoendelea....
Au atakuwa anakuja anakufundishia home na mimi nikiwepo tena nje kwenye veranda...
Vinginevyo ni afadhali tu nikufundishe mwenyewe!
Nimeishia la Saba.Kamanda P akifanya yake ukajiachia ukawa yutong na hiyo shepu yako ya kimalaika ndo nitaanza kutumia mu. Kwa sasa ni mwendo wa ka- tu na ki-
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Si ulikuwa fomu foo juzi juzi tu hapa. Umeshavisahau viambishi rejeshi mara hii? [emoji16][emoji16]