Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha....Jaga nang'he agonoga na gozunywa guke
 
sasa mzungu anadeka kwa kizungu yes yes nyingi mm wa chimba unye huku darasa la Saba B akiniuliza unatak Nini mamaang napepeya juu mawinguni

Sema nyie sio watu wazuri msinitumie
tu

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Ulitaka nitumie kiambishi awali kuzishi cha ngeli ya tano (li-)?

Ka - kiambishi awali dogoshi dhanaishi chenye kuleta upambishi na mvuto kwa kirejelewa....

Ka-one....
Li-one...
Mu-one
Ki-one.....
Kwahiyo umeona uanze kuniumiza kichwa na viambishi rejewa sijui rejesha bila kujali mimi ni la Saba b!
Tumia mu.

Nimebeba watoto dabo humu ndani halafu unasema ka kweli?
 
Sisi siyo watu wazuri?

Tuko milioni 12+

Kweli wote siyo wazuri?

Ulitumia sampuli gani wakilishi (representative sample) kufikia hitimisho lako la jumla kuwa sisi wote siyo watu wazuri?

Dogo mtu poa sana. Hutajuta!
 
Kwahiyo umeona uanze kuniumiza kichwa na viambishi rejewa sijui rejesha bila kujali mimi ni la Saba b!
Tumia mu.

Nimebeba watoto dabo humu ndani halafu unasema ka kweli?
Kamanda P akifanya yake ukajiachia ukawa yutong na hiyo shepu yako ya kimalaika ndo nitaanza kutumia mu. Kwa sasa ni mwendo wa ka- tu na ki-

Si ulikuwa fomu foo juzi juzi tu hapa. Umeshavisahau viambishi rejeshi mara hii?
 
Sisi siyo watu wazuri?

Tuko milioni 12+

Kweli wote siyo wazuri?

Ulitumia sampuli gani wakilishi (representative sample) kufikia hitimisho lako la jumla kuwa sisi wote siyo watu wazuri?

Dogo mtu poa sana. Hutajuta!
Hapo ndo sijui mm sijaona hao mil 12 nimewaona naoishi nao

Semaunajitetea
ubabe usipinge na
Kama kawa

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…