Selfika na JF: Snap it. Show it

Nitajitahidi izo mboga za majani sasa HIV zinaomba poo[emoji23]lkn nashindwa kuacha kutumia maziwa fresh na mtindi hauna shida?

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Binafsi Nikinywa maziwa nanenepa..

Pendelea sana kunywa chai isiyo na sukari (najua hii ni ngumu lakini ukifanya kwa kipindi fulani utazoea)

Pendelea zaidi pia kunywa maji mengi ya uvugu vugu na limao juice Ndani ya maji.

Ukibahatika kunywa chai ya peppermint(teabags ile) it’s kusaidia asubuhi unaamka tumbo halina kitu kabisa..ni lepesi
 
Nitajitahidi

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Basi naringa nachoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa naangalia kama zimeshakua kua usiku[emoji23]

Nikianza kubana tu mchicha kazi unayo

View attachment 2216965
Shingo hainesi kabisa

Imekaa thin

Hivi unadhani mimba/ujauzito

Ni kama kula makande[emoji848]

Endelea kujiombea utaipata tu

Siku moja
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…