[emoji120][emoji120][emoji8]dearUnywelee [emoji7]
[emoji120][emoji120][emoji8][emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wifi yetu mwarabu[emoji91]
Huu Uzi ni noma,ukigeuka huku shepu la boss ledi,huku mzungu Bella,huku mzungu mwingine Alayna kaja mara wifi yetu mwarabu [emoji91][emoji91][emoji91]
Basi mmatumbi mwenye uzungu ndani yakeMimi hata sio mzungu dear,ni mmatumbi pure[emoji2][emoji2]
Wifi yetu mwarabu[emoji91]
Huu Uzi ni noma,ukigeuka huku shepu la boss ledi,huku mzungu Bella,huku mzungu mwingine Alayna kaja mara wifi yetu mwarabu [emoji91][emoji91][emoji91]
Mara cocastic abinue tako mojaBado pozes za cocastic .. mwandiko wa Anneπ€£π€£π!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] niachie nyotaa zangu.Mimi sijaiona,adhabu yako nitumie kule chobingo,la sivyo nachukua nyota zako zote[emoji23][emoji23]
Uanze kuhaha kama yule mtu[emoji2096][emoji2096]
Tatizo anachelewa sana Mjep coca amerudia ya mieleka ya kichina!!
π€£π€£π€£π€£πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shouzzz acha upambee nawee.
π€£π€£ asante mpendwaNa wewe
Kipilipili?πππππππHebu tupia ya unywele huo mzee mwenzangu...
Hahahaaaa...sawa na akija akitaka irudiwe irudiwe bila ubishi ausio!Leo mimi mjep nina mtetea mwache atafute hela ya vocha kwanza...[emoji2][emoji2]
Tusindikizie akhsante na picha ingine kali ya kizunguπ€£π€£ asante mpendwa
TIPS kwa ufupi walioweka dawa nywele
Naandika kwa ufupi jamn
1.Chagua dawa inayoendana na nywele yako kma ni laini au wastani ama ngumu
2.Fanya deep contioner hii siyo steming ni kwaajili ya kulainisha nywele na kizifanya ziwe na unyevu nunua product nzuri OSHA nywele kwa maji baridi paka contioner funika na mfuko wa nailoni usikae kwenye Moto then osha endelea na mambomengine
3.wkat unazifanyia steaming pendelea kumassage kichwa na nywele kufanya product unzotumia ziingie vizuri
4.kata ncha
5.epuka kutumia vitu vya Moto Mara kwa Mara pas na blow-dryer
6.epuka misuko ambayo inakata nywele
7.Chagua mafuta rafiki kulingna na nywele zako
Niishie hapa kwa wenye nywele zenyew dawa ongezeen km yapo leo sikuyenu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
hivi kumbe umeweka nimepitwa?? ππππ€π€π€Leo mimi mjep nina mtetea mwache atafute hela ya vocha kwanza...[emoji2][emoji2]
Shostito cocastic eeeh shepu la kuvunja chaga[emoji833] - coca
[emoji3590] - rafiki ake.
Jaman nyie navojibinua sasa yote nioneshe japo kashape uwiiiih
See u baadae. View attachment 2216760
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] niachie nyotaa zangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]Mara cocastic abinue tako moja
HS atupie skuna
Mambo ni hatari,Mimi nauzima Zima tu moto na kamwandiko angalau kananiokoa mwee