Selfika na JF: Snap it. Show it

Enjoy mjomba

Sikuhizi vitu vya sukari nakula kwa nadra sana...

I
Ukishakuwa Shangazi lazima ujitahidi kuwa mbali na sukari kidogo 😅😅😅😅, huenda nikapunguza ulaji wa sukari mwezi ujao nibaki natumia sukari ya asiri tu.. ulaji wangu wa sukari nahisi umepitiliza
 
Utatuma humuuu hadi baas, ndo km mie naweza beba nguo nyingi kwa begi, nikifka pale nabadili tyuu nguo na mapozi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…